Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Vitengo

Sekta ya Uchukuzi inaVitengo 6 ambavyo ni:

  1. Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  2. Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  3. Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  4. Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  5. Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  6. Kitengo cha Huduma za Sheria