Uchukuzi SC yaibuka na vikombe na medali lukuki katika mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika Mkoani Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu azindua barabara ya Nyakanazi hadi Kabingo yenye urefu wa KM 50 iliyojengwa kwa Kiwango cha Lami, Mkoani Kigoma.
Naibu Waziri Wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete ashiriki katika Mkutano wa kumi wa Tume ya pamoja ya kudumu ya Ushirikiano katika ya Tanzania na Zambia, uliofanyika Nchini Zambia.
Katibu Mkuu Uchukuzi, Gabriel Migire akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya AVZ Minerals Dkt. Charles Clarke.
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete afunga maadhimisho ya Wiki ya Reli yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Uchukuzi Gabriel Migire asaini mikataba wa utendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dodoma.