Mkurugenzi Huduma za Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi Aron Kisaka afungua kikao cha kwanza cha Wadau wa Bandari Mkoani Mtwara.
Naibu Waziri Uchukuzi, Atupele Mwakibete azungumza na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), bandari ya Kyela, Wilayani humo Mkoani Mbeya.
Tanzania na Ufasansa zasaini Mkataba wa Ushirikiano katika Usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Mhandisi Aron Kisaka afungua Kikao cha kwanza cha Wadau wa Maboresho ya Bandari Mkoani Mwanza
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire afungua semina kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini jijini Dar es Salaam.
Menejimenti ya Uchukuzi, yatembelea mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR Sehemu ya Isaka hadi Mwanza.