Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Maktaba ya Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu ashuhudia utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR Sehemu ya Tabora hadi Kigoma (KM 506)
Katibu Mkuu Uchukuzi Gabriel Migire asaini Mkataba wa Utendaji kazi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirka la Reli Tanzania (TRC), jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais Dkt. Isdory Mpango atembelea Bandari ya Tanga
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Bw. Ludovick Nduhiye afunguaProgramu ya kuwawezesha wanawake katika masuala ya ujenzi
Naibu Katibu Mkuu Dkt. Ally Possi aongoza kikao cha Wataalam cha Mashirikiano katika ya SJMT na SMZ Kisiwani Unguja.
Tanzania na DRC zasaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji wa Miundombinu.