Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Maktaba ya Picha

Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire afungua semina kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini jijini Dar es Salaam.
Menejimenti ya Uchukuzi, yatembelea mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR Sehemu ya Isaka hadi Mwanza.
Naibu Naibu Waziri wa Uchukuzi,Atupele Mwakibete ashiriki katika hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza katika Ziwa Viktoria, jijini Mwanza.
Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa 9.2.2023 Bujumbura.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) , Dkt Tumaini Gurumo aeleza Mafanikio ya Chuo hicho jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu-Dkt. Ally Possi akagua maendeleo ya MRADI wa Ujenzi wa SGR Sehemu ya Isaka hadi Mwanza.