Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi afanya kikao na Maafisa Manunuzi wa Sekta na taasisi zake mkoani Morogro.
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akagua utendaji wa Bandari Kavu ya Isaka, 24/6/2022
Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama na Mazingira Mhandisi Michael Magesa akagua maendeleo ya ukarabati wa njia katika eneo la Malolo Mkoani Tabora.
Maadhimisho ya siku ya Mabaharia Duniani yaadhimishwa Kitaifa Mkoani Kagera
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akabidhi Uenyekiti wa Bodi ya CCTTFA kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi yaa Uganda.
Naibu Waziri-Uchukuzi, Atupele Mwakibete apokea ndege aina ya A330-400 ya Kampuni ya Ndege ya Uturuki patika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA)