Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uchukuzi

Maktaba ya Picha

Katibu Mkuu-Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour akagua barabara ya Makete hadi Isyonje (KM 96.2) inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami, mkoani Njombe
Katibu Mkuu Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour azungumza na Watumishi wa TANROADS Mkoani Njombe.
Maonesho ya Nanenane Mkoani Mbeya mwaka 2022
Ufunguzi wa Barabara ya Kikusya-Ipinda-Matema KM 39
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu aweka jiwe la msingi katika kituo cha forodha cha pamoja Kasumulu Mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azindua Rasmi Barabara ya Chunya hadi Makongorosi jijini Mbeya