Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uchukuzi

Maktaba ya Picha

Katibu Mkuu Uchukuzi, Gabriel Migire akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe
Kamati ya Kitaifa ya Uendelezaji wa Mji wa Kibiashara wa Kwala inayoongozwa na Katibu Mkuu OR TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe yatembelea mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kwala/Vigwaza Kibaha - Pwani.
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete azindua rasmi programu ya ukaguzi wa barabara
Waziri wa Uchukuzi wa Kameruni, Mhe. Jean Bibehe na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete, Wakisaini tamko la Mawaziri la Mwendelezo wa ushirikiano miongoni mwa wadau wa hali ya hewa katika upatikanaji wa data za satelaiti katika Ukumbi wa Julisu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete afungua Kongamano la EUMETSAT jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akagua maendeleo ya mradi wa Barabara za Mzunguko jijini Dodoma