Kikao cha kamati tendaji ya JTSR kilichofanyika Morogoro.
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete atembelea bandari na Kiwanja cha Ndege cha Kilwa.
Katibu Mkuu-Uchukuzi Gabriel Migire akagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa kiwanja cha Ndege cha Iringa
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ahudhuria Mkutano wa 41 wa ICAO Nchini Kanada
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini wakutana na kuzungumza na madereva wa Serikali na Wabunge jijini Dodoma.
Katibu Mkuu-Uchukuzi wa Tanzania Gabriel Migire na Katibu Mkuu wa Uchukuzi na Lojistiki Zambia Fredrick Mwalusaka waongoza kikao cha Kujadili changamoto za Usafirishaji kilichofanyika Tunduma/Nakonde mkoani Songwe.