Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akabidhiwa jezi ya Michezo ya SHIMIWI ofisi kwake jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Uchukuzi Gabriel Migire aongoza kikao cha 16 cha Wadau wa Bandari jijini Dar es Salaam.
Ushiriki wa Wizara katika Mashindano ya SHIMIWI Mkoani Tanga
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete akagua maendeleo ya ukarabati wa miradi ya meli Mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji jijini Dar es Salaam
Kikao cha wataalam kupitia taarifa za taasisi za JTSR jijini Morogoro.