Naibu Waziri Wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete ashiriki katika Mkutano wa kumi wa Tume ya pamoja ya kudumu ya Ushirikiano katika ya Tanzania na Zambia, uliofanyika Nchini Zambia.
Katibu Mkuu Uchukuzi, Gabriel Migire akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya AVZ Minerals Dkt. Charles Clarke.
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete afunga maadhimisho ya Wiki ya Reli yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Uchukuzi Gabriel Migire asaini mikataba wa utendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dodoma.
Katibu Mkuu-Uchukuzi Gabriel Migire akutana na kuzungumza na Menejimenti ya TRC na watumishi wa karakana ya shirika hilo mkoani Morogoro
Ufunguzi wa Mashindano ya SHIMIWI Mkoani Tanga