Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uchukuzi

Maktaba ya Picha

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania na Wizara ya Uchukuzi ya Malawi zakutana kwa siku moja kujadili uchukuzi baina ya nchi hizo.
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire atiliana saini Mikataba ya Utendaji kazi na Wakuu wa taasisi za Uchukuzi kwa mwaka 2023/24, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa afanya ziara nchini China
Mkurugenzi Msaidiz-Bajeti Sekta ya Uchukuzi, Bi. Naima Mrisho afungua kikao cha wadau wa Usafiri Ardhini kujadili Mpango wa LATRA, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi ashiriki na viongozi wengine kwenye bonanza la SHIMIWI jijini Dodoma mwisho mwa wiki